Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
MNOGA AWASHTUA WABONGO
.
Beki wa Portsmouth F.C, Haji Mnoga ametoa wito kwa wachezaji wenye asili ya Tanzania ambao wanacheza soka la kulipwa kwenye mataifa yaliyoendelea barani Ulaya wafanye maamuzi ya kuichezea Taifa Stars
.
“Ulikuwa uamuzi mgumu kwa sababu nilizaliwa Uingereza. Lakini, kwangu, niliona fahari zaidi kuichezea Tanzania.
.
“Inawezekana kuifanya Tanzania kuwa moja ya mataifa hatari kwenye mpira wa Afrika, Natumai kaumua kwangu kuichezea Tanzania kutaongeza msukumo kwa wachezaji wengine na kuona kuwa wanakila sababu za kuamua kulitumikia taifa lao na huo ndio uzalendo,” amesema Mnoga.

| MORLAYE
SIMBA SC 
Christian Eriksen, 30, katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi.
ila wakaweza wazi kwamba hawana mpango wa kumsajili.