Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hapana bwana auntie soma convo za juu King alivyomwambia makii msalimie mdogo wake nikahisi wewe kumbe sio mama jeep ni auntie makiii
Oooh!! Sasa auntie mi na majeep wapi na wapi wakati hata baiskeli sina[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Team gani hiyo jamani? Hadi ikapelekea maamuzi haya?

Ila HM liliweza bhana...uuuwee!!!
Nakuona hapa mataa mbele yangu , kitu kama piruuuu.. tisha sanaaa una issue gani huku mikocheni mala ya tatu nakuona hapa unakata kushoto.. au umehamisha ofisi 😬😬😬

Team mbaya mbaya hivi haikufungwa ila iliyotoa draw Jioni utakuwa maeneo yako nini nije na markup pen nipige kachataa kiduchu tu pembeni ya tyre
 
Back
Top Bottom