[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] like mfululizoSimchunii Auntie...
Ila si unajua zile like zangu tena[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Auntie Mimi nacheka.. Ila wewe umenizidi...
Nikikumbuka ile siku nakuuliza yale mambo ulivyonijibu na kile kicheko[emoji23]nikikumbuka najichekea tu mwenyewe[emoji23][emoji23]
Za leo napata kesho kutwa kikubwa uhaiYaaani..
Kwa kweli Max atusaidie....
Notifications siku hizi imekuwa changamoto.
Asante binamu na kwako piaWeekend njema wadau. Ndugu yenu sijambo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] like mfululizo
[emoji23][emoji23]kwa kweli kikubwa Uhai...Za leo napata kesho kutwa kikubwa uhai
hahahaha.dah haya bana rafiki,mambo vp?Usichanganyikiwe...
Mbona mambo mepesi kabisa haya Rafiki[emoji2]
Poa tu Rafiki...hahahaha.dah haya bana rafiki,mambo vp?
safi kbs,bd hujalala?rafikiPoa tu Rafiki...
Za wewe?
Mtu mwenye Jeep yake mpyaaa na private number noma tupuPoa tu Rafiki...
Za wewe?
Hahahahha acha tu auntie ndio app yetu hatuna namna[emoji23][emoji23]kwa kweli kikubwa Uhai...
Zikiamua sasa... Notification ya mwaka jana unaweza kuipata mwaka huu June[emoji23]
hahahahbhaEeenh auntie Makiwendo mbona hatuambiani hizi mambo
Eeeenh. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hapend showoff wala makuu
Eeeenh. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We mzee bwana [emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha.ngoja nikasali jumuia narudi
Eeeeeeeeh!!!..Mtu mwenye Jeep yake mpyaaa na private number noma tupu
Jeeep moja kale maroon flani hivi 😅😅😅 ajaye huyuEeeeeeeeh!!!..
Mbonaaaa...Hebu subiri kwanza...
Naomba kutambua uwepo wa hii ID.. Are you...You? Are you We?
Huyu ni wewe nikujuaye au nimtarajie ajaye?[emoji23]