Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
MORRISON NDO BASI TENA MSIMBAZI [emoji112]
.
Za Ndani Kabisa: Inaelezwa Uongozi wa Simba umepanga kupitisha panga kubwa katika kikosi chake cha sasa na awali vigogo wa klabu hiyo waligawanyika ambapo wapo waliotaka winga mtukutu, Bernard Morrison [emoji1110] abakie na wengine aondoke lakini mwenendo usioridhisha wa nidhamu yake, umewafanya vigogo wa Simba waamue kutomuongezea mkataba mpya, hivyo Morrison Anaondoka Simba.