Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,186
- 35,341
Kupuuzia mambo...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tabia ipi hiyo auntie
Leo tu hadi kuna mtu kaniambia[emoji2]
Kupuuzia mambo...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tabia ipi hiyo auntie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na me siku hizi nahisi nimekuwa hivyo auntie yaaniKupuuzia mambo...
Leo tu hadi kuna mtu kaniambia[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo NB ya leo....Nimepentaaaaa[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na me siku hizi nahisi nimekuwa hivyo auntie yaani
Lol. Tusifikie huko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyu anaweza pinduliwa
....hapa kama kuna mtu anarekodi atawarushia nnavyoyacheza mayenu, lokasa ya mbogo, na kibao cha Fatimata Mayaula Mayoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Punguza Kuchocha...
Aachwi mtu hapa[emoji23][emoji23]
Marahaba Shem wangu...
Hujambo?
Ukifika kwenye hicho kibao cha Fatimata naomba UZOOM kabisa maana sio poa.....hapa kama kuna mtu anarekodi atawarushia nnavyoyacheza mayenu, lokasa ya mbogo, na kibao cha Fatimata Mayaula Mayoni
Niongeze sauti au hizi hizi spika za adhana zinatosha
Aha ahahaha, Mayaula Mayoni kwenye Osmane Bakayoko na Sam Mangwana kwenye gitaa lake akiichakata Fatimata. Kumbe vijana wenye mambo ya kizee tuko wengi humu 🤣🤣🤣🤣🤣Ukifika kwenye hicho kibao cha Fatimata naomba UZOOM kabisa maana sio poa.
Wengi sana...Aha ahahaha, Mayaula Mayoni kwenye Osmane Bakayoko na Sam Mangwana kwenye gitaa lake akiichakata Fatimata. Kumbe vijana wenye mambo ya kizee tuko wengi humu 🤣🤣🤣🤣🤣
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] miaka 50 niliyonayo mchezo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uzee huu[emoji114]... siyo poa Auntie.
Wahenga mmekutanaWengi sana...
No no no no no no noooo Fatimata... Sherry fatyy eeh!!
Hatari na nusu.