Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
[emoji3578][emoji3578] Farhan Jr
Washikaji zangu huwa wananiuliza sana kwanini NEYMAR JR ndie Mchezaji wako bora wa muda wote?
Jibu langu jepesi huwa ni SIMPLICITY!
Hata wanaponiuliza kwa Simba nani huwa unaenjoy kumtazama?? Huwa nawaambia ni RALLY BWALYA, wakiuliza kwanini huwa nawaambia ni SIMPLICITY!
Napenda sana wachezaji wanaofanya mpira uwe kitanda kizuri cha hotel ya five star, uchezaji wao ni kama nipo na Miss Tanzania, Millen Happy Magese
If football is an art, then Bwalya is the artist! SIMPLICITY IS THE KEY