Anaanza kubishana na kauli zake mwenyeweRais Samia leo kwenye Maadhimisho ya Mei Mosi ametoa msisitizo kwa Wafanyabiashara kuacha kupandisha bei za bidhaa kiholela nchini na kusababisha ugumu wa maisha.
"Wafanyabiashara wanapandisha bei za bidhaa kiholela na kuongeza ugumu wa maisha, Waziri Mkuu alishatoa kauli kuhusu hili nami nasisitiza tuache visingizio twende kwenye uhalisia"
View attachment 2208058
Chenga ya mwili hiiRais Samia leo kwenye Maadhimisho ya Mei Mosi ambayo yamefanyika Kitaifa Dodoma amewahakikishia Wafanyakazi kuwa jambo la nyongeza ya mishahara mwaka huu lipo kama alivyowaahidi mwaka jana na kusema mahesabu yanaendelea ili kujua itapandishwa kwa kiasi gani.
"Ulezi wa Mama unaendelea, lile jambo letu (kupandisha mishahara) lipo, sio kwa kiwango kilichosemwa na TUCTA kwasababu hali ya uchumi wa Nchi yetu na uchumi wa Dunia sio nzuri sana, uchumi wetu ulishuka mnoo tumejitahidi sana kuupandisha na kwasababu tulishatoa ahadi mwaka jana nimeagiza jambo liwepo, mahesabu yanaendelea tutajua lipo kwa kiasi gani lakini jambo lipo"
View attachment 2208062
Majukumu ya kitaifa Mkwe! Yametubana sanaMkwe mie nipo nimejaa telee, wewe na mkeo ndio siwaelewi elewi.
You were missed.Nipo apa T
Miss you too TYou were missed.
Asante binamu na kwako pia![]()
Tuwe na wakati mzuri wana Jukwaa wote.
Ndugu yenu nawatakia kila mmoja mapumziko na sherehe njema za Eid. LLL
Eenh story gani hizo we mzeenani yuko macho tupige story