Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,322
- 35,826
...wale wanaouza vitabu kwenye mabar wamekuuzia kitabu cha kujifunza kuhesabu!?1234
...wale wanaouza vitabu kwenye mabar wamekuuzia kitabu cha kujifunza kuhesabu!?1234
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binamu nimecheka...wale wanaouza vitabu kwenye mabar wamekuuzia kitabu cha kujifunza kuhesabu!?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila auntie sijui umekososa pilau la janaHebu tuache we mama.
hahahaha...wale wanaouza vitabu kwenye mabar wamekuuzia kitabu cha kujifunza kuhesabu!?
Asante auntie na kwako piaHappy Easter Makapuku wote...
Nawapendeni sana..
Nimesherehekea vizuri auntie sijui wewePasaka njema kwako pia Auntie...
Umesheherekeaje huko?
Nipo apa TShem shem shem! Nakuona
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaniiii mashabiki wa simba bado tunaendelea kulala. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nyie wengine mtajijua wenyewe
Nami imekuwa poa sana Auntie..Nimesherehekea vizuri auntie sijui wewe
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Asante auntie na kwako pia