Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Aisee kumbe ndo alikuwa hivyoMnooooo si mkaka wa mjini na kipindi yupo single kwake house party haziishi
Bata batani
Aisee kumbe ndo alikuwa hivyoMnooooo si mkaka wa mjini na kipindi yupo single kwake house party haziishi
Halafu hiyo Rangi yake kuna ile namna anafanya eee!!!!Mnooooo si mkaka wa mjini na kipindi yupo single kwake house party haziishi

Ila haya mambo 10 leo Alli Kamwe hajayatendea haki..Ali kamwe
Mambo 10 nilioyaona YANGA vs SIMBA
1: DAKIKA 180 za KARIAKOO DERBY BILA BAO, KWENYE LIGI MSIMU HUU. Ni Derby iliyotunyima Bao Lakini imetupa Jibu la Ubingwa wa NBC PREMIER LEAGUE.. Yanga watasherehekea Kombe lao, Simba watabaki na Heshima yao
2: Tactically, Makocha wote walikuwa na wasiwasi kwenye mipango yao. Ni kama waliwaza zaidi hatima zao baadae kuliko pointi 3 mbele ya Mtani .. Kivipi?
3: Timu zote zilikwenda na mfumo wa 4-2-3-1 Lakini Tofauti ikawa kwenye utekelezaji tu. Yanga wakaseti mtego wao kwenye Counter Attack.. Simba wakatafuta pasi mpenyezo nyuma ya ukuta wa Dickson Job na Mwamnyeto.. Wapi walifeli?
4: Moloko hakuwa kwenye Form yake. Hakuweza kutumia faida ya Mayele kusimama katikati ya Henock na Onyango.. Simba walikosa 'Movements' za Mugalu ili kutengeneza nafasi kwenye 'Half Spaces' ili Sakho na Morrison kutumia
5: Kuna funzo Henock na Onyango wamelitoa kwa mabeki wengine jinsi ya kudeal na Mayele. Kivipi? Jinsi ya kuziba nafasi ya nyuma ya mwenzako.. Asilimia kubwa Mayele alijikuta anafanya 'mikimbio' yake katikati ya Mabeki wawili wa Simba.. Ikapunguza kabisa madhara yake
6: Heshima kwa Shomari KibwanaMwili wa Primary, Ukatili wa Guantanamo Bay! What A Kid. Ameicheza 'Derby' kwa miguu, kichwa na Moyo wake. Ujasiri wake.. Kasi na Timing nzuri ya kupokonya mpira, iliwapa Yanga nguvu kwenye kujilinda
7: Mkude..Ukitafuta kwa makini nini kilipunguza ukali wa Feisal kwenye 'zone ya 14' ya kiwanja anaposhambulia.. Utaiona kazi kubwa ya Jonas Mkude.. Sio kwa ajili ya kukata. Ni kwenye 'Brain' ya kukaba zone
8: YANGA wamecheza Dakika 90 bila Shot On Target. Why? Kuna ubora wa Pablo Tactically kwenye kujilinda Lakini kwa kiasi fulani Uongozi wa Yanga umejua ni Quality gani ya kuongeza kwenye kikosi chao kudeal na 1v1
9: Well Done Ramadhan Kayoko na Wasaidizi wake. Kiasi fulani mechi ilikuwa na presha kubwa. Kama wasingekuwa Fit na makini, kadi zingeweza kuwa nyingi zaidi
10: Shomari KapombeMchango mzuri Muzamir Yassin! Hongera kwa Mwamnyeto na Dickson Job.. Mechi nzuri kwa Perfomance zao
Nb: Kumbe inawezekana bila kuwasha moto View attachment 2206677

Vya kuhonga tena Auntie????Woiiiiii....var inasema auntie wapo Congo sasa sijui nani huwa anaenda kumtembelea mwenzie
Ilaa auntie sifa za wacongo gusa unase sio wa mchezo mchezo wale tena vikizidi unaweza hata kuhongaMungu anisamehe haya mapenzi ya kuhonga shida zilivyonijaaa



yupoooo kazi kumsema babe wangu tu yani tungefungwa angekesha makapuku kama msemaji wao








Hahahha ni mweupe sema atakuwa anajiongezea kidogoHalafu hiyo Rangi yake kuna ile namna anafanya eee!!!!
Maaana Wacongo wanapenda mno...
Hahahha auntie hiyo nb bado kidogo nifuteIla haya mambo 10 leo Alli Kamwe hajayatendea haki..
Hiyo NB ya leo hapana![]()
Vya kuhonga tena Auntie????Woiiiiii....
Hapana..
Ndiyo hiyo ya Wacongo nimewahi kusikia sana.. Hata juzi kati kuna mtu nilimsoma mahali hapa JF alikuwa anawaelezea...Nasikia siyo watu hawa![]()



auntie raha zikikuzidi nasikia unaaza kuhonga nasikia wanajua mpaka wanajua tenaaa kucheza na kiumbe kinaitwa mwanamkeHahahha auntie hiyo nb bado kidogo nifute






Nyieeeeeeauntie raha zikikuzidi nasikia unaaza kuhonga nasikia wanajua mpaka wanajua tenaaa kucheza na kiumbe kinaitwa mwanamke




Alli ana ujinga mwingi sana...




yaani huweai amini nimesoma mara mbili nataka kufuta nikajipa moyo tu acha nipost tu hivyohivyo huku roho inaniuma
Nyieeeeee
Ila binafsi sijui huwa nawaonaje... Waiiii....
Wanapenda sifa hao... majivuno sasa...



kama ninavyowaogopa wanaume wa kimakonde nasikia nao hawafaiii unaweza kuachana na mahusiano yako hivihiviyaani huweai amini nimesoma mara mbili nataka kufuta nikajipa moyo tu acha nipost tu hivyohivyo huku roho inaniuma








kama ninavyowaogopa wanaume wa kimakonde nasikia nao hawafaiii unaweza kuachana na mahusiano yako hivihivi










Tutafanyaje sasa Auntie.. ndiyo wachambuzi wetu wa Bongo hao
Oscar leo anakuambia Simba ilikuwa na Mabeki watano... nimechekaaaa![]()




pamoja na mayele
Eenh na wamasai pia wazee wa kingozi.
Na wamasai unaambiwa... Siyo watu..![]()






pamoja na mayele







Eenh na wamasai pia wazee wa kingozi.![]()







