Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Ngoja tuone aisee kama ataoa ,atafika wanne yuleHii ya mke wa tatu hivi ni kweli au
Nakwambia wangetufunga leo angekesha kututukana
Jama huyu ana drama kweli na lazima angetusema
Ngoja tuone aisee kama ataoa ,atafika wanne yuleHii ya mke wa tatu hivi ni kweli au
Nakwambia wangetufunga leo angekesha kututukana
[emoji120]Nawashkru mashabiki wa timu zote kwa kuvumiliana na mmepokea matokeo kwa moyo mmoja
Nipo apa babeBaibee shuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Anajifanya hajuiMpira gani?
Na ninasikia ye ndio mwenye shida kwa wake zake anapiga sana na gubu, mlevi mpaka kutembea na mashogaNgoja tuone aisee kama ataoa ,atafika wanne yule
Jama huyu ana drama kweli na lazima angetusema
Dah so sadNa ninasikia ye ndio mwenye shida kwa wake zake anapiga sana na gubu, mlevi mpaka kutembea na mashoga
Hamna mwanake anaweza vumilia hizo mamboDah so sad
Hakuna aisee kwanza yule nahisi anawachamba pia sio kwa maneno aliyonayoHamna mwanake anaweza vumilia hizo mambo
[emoji23][emoji23][emoji23] nimewaza hiyo ya kuwachamba halafu awe amelewa na anwatukana nasikia juzi kati ex wife wake mmoja alikuwa kwa app ya mange na picha za kupigwa zikawekwaHakuna aisee kwanza yule nahisi anawachamba pia sio kwa maneno aliyonayo
Duh mbona balaa hiyo[emoji23][emoji23][emoji23] nimewaza hiyo ya kuwachamba halafu awe amelewa na anwatukana nasikia juzi kati ex wife wake mmoja alikuwa kwa app ya mange na picha za kupigwa zikawekwa
Wa kwanza sijui wa pili acha hawa wawili wa mwisho kabla ya hawa alishaacha wawili kumbeDuh mbona balaa hiyo
Yule mke wa kwanza ndo alipigwa ?
Aise pole kwake
Aisee hatariWa kwanza sijui wa pili acha hawa wawili wa mwisho kabla ya hawa alishaacha wawili kumbe
Na usikute wale watoto mama zao ni tofautiAisee hatari
Mweh ndio maana ana watoto
Yeah inawezekana kabisaNa usikute wale watoto mama zao ni tofauti
Mnooooo si mkaka wa mjini na kipindi yupo single kwake house party haziishiYeah inawezekana kabisa
Jamaa ana mambo mengi yule .