Makapuku Forum

Makapuku Forum

Yanga msomeni kidogo mchezaji wenu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi ni simba damu usitegemee mechi ya simba na yanga nitapost habari za yanga mtanisamehe bundle langu na simu yangu mtasoma habari za simba mtake msitake
Screenshot_20220430-202654_OGInsta%2B.jpg
 
Yanga msomeni kidogo mchezaji wenu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi ni simba damu usitegemee mechi ya simba na yanga nitapost habari za yanga mtanisamehe bundle langu na simu yangu mtasoma habari za simba mtake msitakeView attachment 2206535
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nimechekaaaaa....
Espy yuko wapi leo jamani?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenyewe nimecheka..
Mbona VAR!!!!

Wapo TZ au Congo huko?[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] var inasema auntie wapo Congo sasa sijui nani huwa anaenda kumtembelea mwenzie

Ilaa auntie sifa za wacongo gusa unase sio wa mchezo mchezo wale tena vikizidi unaweza hata kuhonga [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mungu anisamehe haya mapenzi ya kuhonga shida zilivyonijaaa
 
Back
Top Bottom