Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Mwenyekiti wa Bodi, Salim Abdallah ‘Try Again’ amekutana na kuongea na wachezaji kuelekea mchezo wa kesho wa #KariakooDerby
Kupitia kikao hicho amewasilisha pia salamu za Rais wa heshima wa Simba, Mohammed Dewji (moo dewji) akiwatakia wachezaji mchezo mwema. #NguvuMoja