Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Yanga wana mteroooAlooooooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kimeumanaView attachment 2205104
Yanga wana mteroooAlooooooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kimeumanaView attachment 2205104
Ukikosa nini tenaOk , mimi nikikosa tunafungwa
KwendaUkikosa nini tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba lazima uende tu hakuna namnaKwenda
Wanasema simba ina roho mbaya
Afee beki afee ab ....🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba lazima uende tu hakuna namna
[emoji2][emoji2]labda Kama ni weziHahaha hautaki wateja jirani yangu
[emoji16]karibu uniungisheHe he
Wewe ni mimi Auntie[emoji23][emoji23]Auntie kwanza me nahisi nina presha ujue uwanjani sijawahi kwenda kuangalia simba yaani. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] itokee tumefungwa nitazimia sijui maana nikiwa nyumbani tu tukifungwa nazima tv naingia kulala
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eeee!!!!Ok , mimi nikikosa tunafungwa
Wana kiwaruuu[emoji23][emoji23]Yanga wana mterooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani bar au sehemu ya watu wengi ndio ninaweza kuangalia mpaka mwisho yaani sijui kwa niniWewe ni mimi Auntie[emoji23][emoji23]
Nikiangalizia mpira nyumbani preshs inakuwa kubwa kuliko.. Uwanjani sijui ndiyo itakuwaje..Maana kufungwa mimi sitaki kabisa.. Naumia[emoji23]
Nikikumbuka World Cup ya 2018 mama yangu alikuwepo...siku Timu zangu zinacheza Alikuwa ananiangalia hanimalizi.. Ile siku ya final nakumbuka ilikuwa J2..hapo natamani Croasia washinde, natamani France washinde..Sitaki kukumbuka ile siku[emoji28]
Simba nguvu moja...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2205105
Naaam auntieSimba nguvu moja...
Na bado[emoji2]