Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,856
- 183,113
Kwani ninao?Eeenh hatujui kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwahiyo umemwambia huna ndugu
Kwani ninao?Eeenh hatujui kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwahiyo umemwambia huna ndugu
Kwahiyo auntie leo unatukanaKwani ninao?
Auntie kule ndani sijawahi kuingia kukiwa na mpira etiii[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utaenda taifa auntie
Sijui kutukana mimi.Kwahiyo auntie leo unatukana
Hapana auntie kesho natoka saa kumi nahisi nitaangalia njiani njiani tu sina namnaAuntie kule ndani sijawahi kuingia kukiwa na mpira etiii[emoji2]
Sikumbuki ni mara ngapi nimeingia.. Ila zinakuwaga Mei Mosi.
Wewe utaenda Aunty akeee?
Makubwaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]Kwani anawajua?
Eeenh jamani unatukataaSijui kutukana mimi.
Pole Auntie...Hapana auntie kesho natoka saa kumi nahisi nitaangalia njiani njiani tu sina namna
MjombaaaHahaha hautaki wateja jirani yangu
Auntie kwanza me nahisi nina presha ujue uwanjani sijawahi kwenda kuangalia simba yaani. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] itokee tumefungwa nitazimia sijui maana nikiwa nyumbani tu tukifungwa nazima tv naingia kulalaPole Auntie...
Mwenyewe nitaangalizia mtaani tu.
WaleeeeteeeeeDJUMA: TUNASHINDA JUMAMOSI
.
“Najiamini tutashinda kutokana kikosi chetu kinawachezaji wazuri, unajua mechi hizi za derby mara nyingi hazina mzamana na kunakuwa na matokeo ambayo hayategemewi lakini tunashinda,"View attachment 2205101
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nishakukatiq tiketiAuntie kwanza me nahisi nina presha ujue uwanjani sijawahi kwenda kuangalia simba yaani. [emoji1787][emoji1787][emoji1787] itokee tumefungwa nitazimia sijui maana nikiwa nyumbani tu tukifungwa nazima tv naingia kulala
Sitawahi jamani natoka saa kumi hiyo hela nitumie tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nishakukatiq tiketi
Ok , mimi nikikosa tunafungwaSitawahi jamani natoka saa kumi hiyo hela nitumie tu