Makapuku Forum

Kazini kuna mtu anayo ujue [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamanii me siwezi kabisa acha tu nitumie wereva yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha tu...
Mwenyewe kuna huyo mtu siku zote najua simu yake macho 3...

Sasa siku hiyo kaenda Kitchen..sink likikuwa alipitishi maji likawa limeziba..maji yamejazana kibao.. alikuwa ananawa mikono ile amefika akaibana simu na midomo( lips) kama wengi tunavyofanya...
Ile anaanza kunawa tu simu ikadumbukia...
Kuitoa watu wakaanza kumshauri, Wengine waliokuwa wanajua ni Macho 3 halisi wanamwambia hiyo ina water proof haiwezi kuingiza maji[emoji2]

Ile kuivua cover sasa[emoji28][emoji28][emoji28]
Badala ya watu kumhurumia kila mtu aliangua kicheko..Mimi nilicheka hadi machozi[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana auntie hata ukiscreenshot sijali wala nini kuna mtu aliniambi shunie picha zako zinasambaa nikamjibu ndio vizuri cha nitrend tu kwa watu alichoka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eeeeeh!!! Mbona hilo hujaniambia Auntie?
Ndiyo nasikia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…