Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Niache auntie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzee kwako mtoto kwa babe wangu mwenzio ananibeba na uzee huuNa uzee huo unajiita mtoto[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Niache auntie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzee kwako mtoto kwa babe wangu mwenzio ananibeba na uzee huuNa uzee huo unajiita mtoto[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lete lete mambo mama.
Naanza mie, je wajua Makiwendo ndicho kiumbe pekee duniani kisicholipa madeni?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] auntie usinikumbushe nishasahau ujue siwezi rudia ujinga ebu naomba usinikumbusheKipenzi chake sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mnajua kuniwezaaa!! Hawa viumbe mnawatoaga wapi nyie watoto!!
Kama wewe ukirudia tena ujinga wako nitakutandika viboko hutaamini majicho yako.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui kwa nini nimecheka namna hii..
Aki nimecheka....Nasemaje, Jaribu.
Unanijua kwa majina na tabia...Nimemaliza[emoji2]
Pyuuuuuuuu....Siwatambui kabisa mimi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi utaishi kwa amani kweliiiSiwatambui kabisa mimi.
[emoji23][emoji23][emoji23] kwakweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtu chake Auntie...Umesahau?
He he he....Haki sitengui, labda ukishalipa deni langu.
Hivi Una nini wewe?[emoji2][emoji2]Unadhani mie ndio siteseki!! Si najikaza tu[emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila auntie we na mama mchungaji Heaven Sent mnamfata fata kidogo Saint Anne[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yule mtoto hapana...
Yule amenizidi Aiseee[emoji23]
Ndio Shunie, nimeona nianze tu kuwatandika viboko maana mnajua kuniweza[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo Kipenzi[emoji2]
Mbona viboko..Nani huyo? Ni Shunie?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]He he he he....
Huyo mzoeee Auntie....ndiyo ndugu yetu tena tunafanyaje?
Si unajua kila familia ina yule ndugu, yule....Nisimalizie...
Maana nitachambwa hapa[emoji2]
Khaaaa auntie jamani hajamaanisha mtu chake mtu
Mimi sijui, ila wanasema Covid...Mweeeeh! Covid which? Vita si imeimaliza!!