Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,191
- 35,354
Hilo jibu Shem. Uliza swali sasa..Yeye mtasimama nae?
Kilichofanyika juzi kati si unakumbuka?
Auntie anakuambia Shunie ana watu[emoji2]
Hilo jibu Shem. Uliza swali sasa..Yeye mtasimama nae?
Kwa nani sasa Shem?[emoji23]Kwa hiyo anko nimemuingiza chaka
Tulia Shem[emoji23]Asanteè...si mna timu makiii lakini
Naaaan kipenzi...Saluti kwako kipenzi major general
![]()
...acha tu kipenzi yaani huyu ni anko wangu kabisa wala hata sio wa kusingiziwa, ni kaka wa mama kabisa ila ndiyo wa kwanza kuniaharibia. Juzi tumaliza kula tukaenda baa kula mishkaki mhudumu anaitwa Judith akanielewa ila anko akatumia ujomba wake akaondoka naye. Mimi hata aunt sikumwambia sababu sipendi kumuharibiaSawa..
Kweli Adui wa mtu, ni mtu[emoji23]
...nimeongeza sauti hapo ili nje wasisikie nikianza kukoromaNaaaan kipenzi...
Tulale sasa...
[emoji1]we Lee wewe haya mimi hapa sasa@ABJ nimekumis uko wapii jaman
Nani alikutekaa babe wake mtu[emoji1]we Lee wewe haya mimi hapa sasa
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Naaaan kipenzi...
Tulale sasa...
Hahaha mtekaji ndo alinitekaa.. mambo vipi?Nani alikutekaa babe wake mtu
NimekumissHahaha mtekaji ndo alinitekaa.. mambo vipi?
Na adui ni mtu wako wa karibu sanaa auntieSawa..
Kweli Adui wa mtu, ni mtu[emoji23]