Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Aunt Espy alisema ni buree muhim mpendaneUncle wako kasema hata kesho yupo tayari..
Mahari kwake si kitu[emoji23]nyieeeee
Aunt Espy alisema ni buree muhim mpendaneUncle wako kasema hata kesho yupo tayari..
Mahari kwake si kitu[emoji23]nyieeeee
Leeeee!!![emoji23][emoji23][emoji23]Kipindi unaumwa wao wanabeibishana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli auntie yangu umependwaUncle wako kasema hata kesho yupo tayari..
Mahari kwake si kitu[emoji23]nyieeeee
Yes shem squareLeeeee!!![emoji23][emoji23][emoji23]
...wewe sasa ndiyo ndugu yangu wa kweli, nilijua tu watu walitaka kunichonganisha nikose mambo mazuri. Kinywaji unachokunywa ongeza na kingine kwa gharama zako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sina namna auntie ulipo nipo acha niweke tu baraka zangu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...wewe sasa ndiyo ndugu yangu wa kweli, nilijua tu watu walitaka kunichonganisha nikose mambo mazuri. Kinywaji unachokunywa ongeza na kingine kwa gharama zako
Amen Aunty akee mimi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sina namna auntie ulipo nipo acha niweke tu baraka zangu
Hapa alipotea kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ye kaumwa wapi sasa
Au tuufanyee mwezi wa sita ndo mwisho wa mwaka kwetuAmen Aunty akee mimi...
Mwaka umekuja na baraka nyingi sana huu..
Nyieeeeeee[emoji23]Nilikuwa namuandalia michemshoo
Ongezea mahaba ndi ndi ndo ndo ndu ndu nduHapa alipotea kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
Nikasema haya si mapenzi ni mahaba[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yeye alishasema ifoniii ya kikuu inamtosha
Kupenda ukapendwa rahaNyieeeeeee[emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2]yako na Ufala Mob!!!Mapenziiii ni nyooookoooooo
[emoji23][emoji28]Woooooooiiiiii
Umri umekwenda sana Auntie...
Halafu wajanja wanakula sana mafao yake[emoji23]Lee akanipa majukumu..
Anko kafuta namba zake alizokuwa anawapanga wakina mwanaisha[emoji2][emoji2][emoji2]yako na Ufala Mob!!!
Shwaiiiiin
Sijambo Nyau.[emoji23]We nyau hujambo?[emoji16]
[emoji23]Hebu liweke sawa hilo Shem..[emoji38][emoji38][emoji38] shem wangu kawa nyau?