Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Alisema ni bure..mahari auntie kakataa
Alisema ni bure..mahari auntie kakataa
Siwezi kukuangusha Shem.. Assigment imeeleweka.. kila kitu kitakwenda sawa.Najua hutoniangusha na aunt alisema hakuna cha mahali
Yeye alishasema ifoniii ya kikuu inamtoshaSiwezi kukuangusha Shem.. Assigment imeeleweka.. kila kitu kitakwenda sawa.
Yule Aunty usiamini sana maneno yake..
Auntie ni wewe au wajanja wamehuck simu yako








Mapenziiii ni nyooookoooooo
Auntie basi.. kuna mtu anatumia Account yangu. Huyo siyo mimi![]()
...njia unayotaka kwenda anko utaharibu, yaani sielewi kabisa unaongea nini ha ahahahhhahahahaNa uzuri ni mama mchungaji 2
Woooooooiiiiii
Ni Mpendwa.. twende taratibu Shem..
Anko namanisha anampenda Mungu na wewe anakupenda sana...njia unayotaka kwenda anko utaharibu, yaani sielewi kabisa unaongea nini ha ahahahhhahahaha
We nyau hujambo?
Ni Mpendwa.. twende taratibu Shem..

Uncle wako kasema hata kesho yupo tayari..mahari auntie kakataa
nyieeeee
...njia unayotaka kwenda anko utaharibu, yaani sielewi kabisa unaongea nini ha ahahahhhahahaha






Ntamuelewesha huyu aunt yako ...wewe huyo ashakuwa wako akinywa maji anakuona kwenye maji





