Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
[emoji120][emoji120]Basi Yesu alipokwisha kuipokea ile siki, alisema, IMEKWISHA. Akainama kichwa, akaisalimu roho yake.
Heri ya Siku ya Ijumaa kuu Wapendwa wangu...
[emoji120][emoji120]Basi Yesu alipokwisha kuipokea ile siki, alisema, IMEKWISHA. Akainama kichwa, akaisalimu roho yake.
Heri ya Siku ya Ijumaa kuu Wapendwa wangu...
Kazi ya Lee Hiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mshakuwa wapenzi tena
Pole Auntie jamani...Auntie kiukweli sijanywa hata nguvu nilikuwa nayo ya kutengeneza sasa na hivi nipo mwenyewe
Hahhaa yaani Lee usimpe lawama alitaka anifate masikini nikamkatalia ananioea huruma nipo mwenyewePole Auntie jamani...
Hata Lee ameshindwa kweli jamani?[emoji23][emoji23]
Kuna jambo analitafuta...si bure[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba kaunganishaKazi ya Lee Hiyo[emoji23]
Jamani....Hahhaa yaani Lee usimpe lawama alitaka anifate masikini nikamkatalia ananioea huruma nipo mwenyewe
Aliniambia nikae kae na Uncle karibu[emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwamba kaunganisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sijataka kumtesa sana masikini nilivyomtesa tu vinatoshaJamani....
Ungekubali tu Auntie...kupendwa raha buana..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwamba auntie binamu kujiangalia haweziAliniambia nikae kae na Uncle karibu[emoji1]
Anahitaji mtu wa kumuangalia[emoji2]
...nilijua tu, mtu wa kwanza kuniharibia angekuwa ni ndugu yangu. Anko Lee njoo uone hujuma nazofanyiwa na CAG huko, naona dalili zote za hujuma, ngoja nitoke kanisani niende kwa yule mganga wetu aroge mtu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mshakuwa wapenzi tena
...na kwako pia.Basi Yesu alipokwisha kuipokea ile siki, alisema, IMEKWISHA. Akainama kichwa, akaisalimu roho yake.
Heri ya Siku ya Ijumaa kuu Wapendwa wangu...
[emoji23][emoji23][emoji23] Binamu sikutegemea kukutana n haya...nilijua tu, mtu wa kwanza kuniharibia angekuwa ni ndugu yangu. Anko Lee njoo uone hujuma nazofanyiwa na CAG huko, naona dalili zote za hujuma, ngoja nitoke kanisani niende kwa yule mganga wetu aroge mtu
...yaani siwezi kabisa kujiangalia aunt, akili zangu na mwili zinahitaji sio tu uangalizi, nahitaji uangalizi wa karibu, Makiwendo awe kioo changu , nikianguka ananiamusha, nikilegea ananikakamalisha. Wabaya wakinisema vibaya ananiziba masikio nisisikie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwamba auntie binamu kujiangalia hawezi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sijataka kumtesa sana masikini nilivyomtesa tu vinatosha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyieeee jamaniiii...yaani siwezi kabisa kujiangalia aunt, akili zangu na mwili zinahitaji sio tu uangalizi, nahitaji uangalizi wa karibu, Makiwendo awe kioo changu , nikianguka ananiamusha, nikilegea ananikakamalisha. Wabaya wakinisema vibaya ananiziba masikio nisisikie
Jamani anko anakupendaaKazi ya Lee Hiyo[emoji23]
Umri umekwenda sana Auntie...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwamba auntie binamu kujiangalia hawezi