Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kipa wa Frankfurt, Kelvin Trapp jana alifanya kazi kubwa sana kwenye dimba la Camp Nou dhidi ya Barcelona kwenye Europa League baada ya kufuzu nusu fainali alienda kumbusu Mpenzi wake jukwaani

Stori kubwa nyuma ya wapenzi hao wawili ni Modo huyo wa Kibrazil Izabel, aliwahi kusema yeye na Trapp hufanya mapenzi mara nne hadi tano kwa wiki na ndio sababu hakuwa akifanya vizuri wakati yupo PSG kwakuwa Kipa huyo alikuwa anachoka sana

Izabel anasema iwapo Trapp akipoteza mechi basi hata afanye nini hiyo siku Mwamba hatofanya kitu ila ni kawaida kukesha pale Trapp ameshinda mechi
Screenshot_20220415-215847_Instagram.jpg
 
Ukanda wetu wa CECAFA kuna utamaduni wa kupeana mikataba mifupi mifupi, isiyozidi miaka mitatu hata kama Mchezaji ana potential kubwa

Ni kwakuwa Mchezaji anaiwaza zaidi signing fee mpya kila akisaini, kwakuwa huku kwetu tuna huo Utamaduni

Ni kwakuwa pia wanaomsajili hawana uhakika kama atakuwa bora kwa misimu yote miwili

Au A na B yote majibu kuwa kuna watu kati ambao ni wanufaika wa mfumo huu?
Screenshot_20220415-220040_Instagram.jpg
 
...yaani siwezi kabisa kujiangalia aunt, akili zangu na mwili zinahitaji sio tu uangalizi, nahitaji uangalizi wa karibu, Makiwendo awe kioo changu , nikianguka ananiamusha, nikilegea ananikakamalisha. Wabaya wakinisema vibaya ananiziba masikio nisisikie
Na wote waseme Amina..
Hapa utapata vingi.. tulizana[emoji2]
 
Back
Top Bottom