Makapuku Forum

Makapuku Forum

Screenshot_20220415-073346_Opera%20Mini.jpg
Screenshot_20220415-073402_Opera%20Mini.jpg
 
Wakati tunapambana na mfumuko wa bei (inflation) unaondelea kwa kasi kubwa bila juhudi zozote za serkali kuingilia kati japo kuondoa baadhi ya kodi na vikwazo. Sasa wafanyabiashara nao wamekuja na mbinu nzuri kabisa ya kibiashara, mfinyo au mbinyiko (sio lile basi la kwenda Dodoma Kimbinyiko nadhani).

Hii mbinu kwa kiinglishi wanaiita shrinkflation (from word shrink- decrease in bulk or volume), mbinyiko huu wengi huwa hatuuoni sana kwa sababu hatuna kawaida ya kuangalia ukubwa/ujazo wa baadhi ya bidhaa tunazonunua. Mathalani, kwa kiwango cha kawaida kabisa, nyama (natoka jamii ya wafugaji) unanunua kilo moja ila unajaziwa mifupa na mafuta ya kutosha na unauziwa kwa bei ile ile. Unaponunua bidhaa angalia mfuko (packaging inasomaje, utaona)

MALCOM LUMUMBA
Mkuu Obe hivi unafahamu moja ya mbinu za nyuma ya pazia zinazotumika kukusanya kodi bila kwenda bungeni na kutunga sheria maalumu ni INFLATION. Kuna mambo mengi hayajakaa vizuri, lakini jambo jingine muhimu la kulifahamu ni kwamba nchini Tanzania mwananchi wa kawaida huwa halipi kodi kwa serikali peke yake, bali hata kwa makampuni binafsi. Fanya utafiti wako utaona, mengine hatuyasemi kwasababu tutaonekana wachochezi......
 
....nimeichukua hii na nitapanua wigo maana kabla nilijua kwenye eneo moja kuwa pale kunapokuwa na inflation, bei kupanda ni faida kwa serikali. Kwa sasa mfumuko wetu wa bei uko kwenye 3.6 asilimia maana yake TRA itaongeza asilimia 3.6 kwenye makusanyo yake ya VAT.
Ijumaa Kuu njema mdau.

....waendelee kuimba anaupiga mwingi huku report ya CAG wamefutika kabatini
 
...niko poa sana mpenzi. Niko banda umiza hapa naangalia soka nirudi kazini? Kazi ya kulinda ghala la korosho za ushirika.

Uko salama wewe lakini? Ninakumiss hata kama leo ni alhamis, kaa unajua hili
Ha ha ha...
Niko poa sana Uncle Mpenzi...
Endelea kulinda tu hilo ghala..Hakuna kazi mbovu..kikubwa ridhiki inapatikana..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom