Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,324
- 35,833
....utatuliaje sehemu haina picha yako?Final say ya Mahari...Kwa vipi Dada?
Siwezi kutulia kwenye hela wewe[emoji2]
Ila ukinikubali, naweka picha yako kwenye hela utulie
....utatuliaje sehemu haina picha yako?Final say ya Mahari...Kwa vipi Dada?
Siwezi kutulia kwenye hela wewe[emoji2]
[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]....ha ahahaha, kitu kizuri unakula na ndugu zako, kibaya sumu unakula mwenyewe ufe. sitaki kufa, ndiyo maana nimechagua kitu kizuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....ha ahahaha, kitu kizuri unakula na ndugu zako, kibaya sumu unakula mwenyewe ufe. sitaki kufa, ndiyo maana nimechagua kitu kizuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....utatuliaje sehemu haina picha yako?
Ila ukinikubali, naweka picha yako kwenye hela utulie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wacha hizo Uncle Kipenzi..
Kwangu mimi hayo hayanipi shida sana Uncle Kipenzi[emoji23]...sio utani mpenzi, mwenzako mmoja niliongea na BOT wakamuweka kwenye sarafu ya mia tano, akakasirika kwa kuwa hawekwi kwenye wallet, akaniomba tuachane. Tangu kipindi hicho niko kama mpigadebe wa kwenye meli
Teh teh teh teeeeeeeeh!!!Kwangu mimi hayo hayanipi shida sana Uncle Kipenzi[emoji23]
Kikubwa Upendo ulio wa kweli..
Tulia[emoji2]Teh teh teh teeeeeeeeh!!!
Ngoja nitafute sare[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tulia[emoji2]
Huu mwaka lazima unenenepeNgoja nitafute sare[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shem darling....hivi natakiwa nukuite shem square eti?Tulia[emoji2]
Harusi tunayo[emoji2]Ngoja nitafute sare[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shem darling....hivi natakiwa nukuite shem square eti?
Unanichanga ujue😆😆😆😆[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka mno Shem...
Niite Mkaza mjomba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unalifahamu hilo jina?
BTW, Shem itabaki kama ilivyo...
Nikiongezea na aifoni yangu ya kikuu mambo saaafi kabisa[emoji1787][emoji1787]Huu mwaka lazima unenenepe
Hahahahahaha hapo binamu akupambe na batiki za kikuuNikiongezea na aifoni yangu ya kikuu mambo saaafi kabisa[emoji1787][emoji1787]
Mbona nimepatikana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahahahaha hapo binamu akupambe na batiki za kikuu
Si tunakupendaMbona nimepatikana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwe mwe mweeeh!Si tunakupenda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unanichanga ujue[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]