Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,324
- 35,833
....hili neno limenifanya nijisikie faraja sana, maana hapa nilikuwa najipanga kuwachangisha ndugu zangu Lee , Nigendako shululu wajichangechange wanipe mahari na mshenga aje anitongozee huyu mrembo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti shemeji!! Ila afadhali labda nami nitapata nafasi ya kupumua ukiwa busy na mahaba.
Mwambie hatuhitaji hata mahari, akuchukue fasta fasta.