Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,519
- 235,236
Hawawezi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nikajua walifanya uvamizi sehemu nyingine
Hawawezi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nikajua walifanya uvamizi sehemu nyingine
....leo nipo sana aunt, yaani nitakuwepo humu hadi muda wa kula daku.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila binamu leo unapatikana mda wote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo umeamua kukaa kwenye bundle sio binamu....leo nipo sana aunt, yaani nitakuwepo humu hadi muda wa kula daku.
Si unajua nikikaa nakuwa nimefika. Mafuta bei juu, bundloe linahimilika, nimechagua kinachohimilika
Hata mimi nikikaa nimefika Uncle.......leo nipo sana aunt, yaani nitakuwepo humu hadi muda wa kula daku.
Si unajua nikikaa nakuwa nimefika. Mafuta bei juu, bundloe linahimilika, nimechagua kinachohimilika
Pole Auntie...Auntie naona kuumwa kupokezana woiiii nina dalili zote za mafua yaani
Hajui[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ili ukiwa pembeni si eti auntie ila auntie Espy Eroni anafahamu haya
Analinda goli[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila binamu leo unapatikana mda wote
...lazima nililinde kabla mabazazi hawajaja kuhamisha goli languAnalinda goli[emoji2]