Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Yaaan anko wangu anajionea wivuuuAaaaaaaah!!!! Shem[emoji28]
Wivu wa nini Shem...Na upo na Aunty yangu huyo...
Mtoto wa Kitanga yule...Nadhani unanielewa[emoji28][emoji28]
Yaaan anko wangu anajionea wivuuuAaaaaaaah!!!! Shem[emoji28]
Wivu wa nini Shem...Na upo na Aunty yangu huyo...
Mtoto wa Kitanga yule...Nadhani unanielewa[emoji28][emoji28]
Kuna na mradi wa bata mzinga ..meiniii sapulayaaaaHaswaaaaaa....
Wacha tumsaidie Uncle kumtunzia Mapato ya Korosho[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna na mradi wa bata mzinga ..meiniii sapulayaaaa
Asante kwa kushukuru. [emoji120][emoji120]Asante shunie kwa mazageti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maana auntie naona week yote nipo mwenyewe makapuku wote mmekimbia tunaendele vizuri na mtoto wa mwanamke mwenzanguOooooh!!!!
Auntie jamani nikukimbie niende wapi mimi jamani..
Hapa ndiyo sebuleni kwangu Auntie[emoji28]
Mnaendeleaje na huyo mtoto wa Mtu?
Kwamba auntie unataka kumpoteea huyo mzee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]He he he..Ataenjoy sana...[emoji28]
Atakupa mrejesho[emoji28]Mnaweza msimuone humu kabisa[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haswaaaaaa....
Wacha tumsaidie Uncle kumtunzia Mapato ya Korosho[emoji28]
Nas jina tu hilo wala usiliogopeNi lini mtaacha kuwa makapuku..?
Kuna malimbukeni wa mapenzi huko wameteka uzi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lini sasa?
Hayo ndo maneno mbona anko atanyookaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na Mama Mjengo nipo hapa[emoji2]
Ngoja waje kukuchamba mkurugenzi wetu[emoji23][emoji2096][emoji2096]Kuna malimbukeni wa mapenzi huko wameteka uzi [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Uncle bhana...
Eti single but not alone...
Wewe je? Upo single au single but not alone?
Makapuku ni kama utamaduni, kwa hiyo swali lako linauliza lini tutaacha utamaduni?Ni lini mtaacha kuwa makapuku..?
Jamani Auntie...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maana auntie naona week yote nipo mwenyewe makapuku wote mmekimbia tunaendele vizuri na mtoto wa mwanamke mwenzangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba auntie unataka kumpoteea huyo mzee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuna jambo letu Auntie[emoji28]Nipo hapa auntie
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]....uncle tulia kwanza, mimi niko alone ila siko single maana tangu nianze muziki sikutoa single tena, ni mwendo wa album tu na hata michango nnachanga double