Makapuku Forum

Makapuku Forum

Screenshot_20220411-054338_Opera%20Mini.jpg
Screenshot_20220411-054417_Opera%20Mini.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Obe
Wakati Ligi ya NBC msimu huu [2021|22] Polisi Tanzania ilishaongoza Ligi, lakini taratibu timu imekuwa ikitoka kwenye nafasi za juu na sasa hivi ipo nafasi ya tisa (9) ikiwa na alama 23 sawa na KMC.

Kocha Msaidizi wa Polisi George Mketo ameeleza sababu ambayo inewafanya kushindwa kubaki kwenye nafasi ambazo walikuwa wamejiwekea malengo.

“Ligi sio nyepesi ligi ni ngumu, kwa namna ambavyo tulianza mwanzo, tulitarajia kuendelea hivyo na ndio malengo yetu. Malengo ya timu na Jeshi kwa ujumla ni kumaliza katika nafasi tatu za juu na malengo hayo bado yapo.”

“Kwa nafasi tuliopo na wale ambao wapo juu tofauti ya pointi ni chache kama tatu au nne. Naamini kwenye michezo iliyobaki tutapambana ili turudi kwenye nafasi tatu za juu.”View attachment 2181132
Matokeo ya polisi na makolo ngapi ngapi? maana wengine tuko porini huku hakuna mtandao so atujapata matokeo
 
 

Lini sasa?
 
He he
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom