Makapuku Forum

Makapuku Forum

Anko mm naanza wapiii kukupondaa...wewe ndo si ndo mjomba na mjomba ni mama ...nilikuwa nakumbushia zile habar za zaman kabla hujakutama na makiiiiiiiiii

Sasa sikia hapa mjomba Nige asijue mapema unamjua
...hapa napiga sala zote binamu Nigendako asije maana mtu wa dini yule ataniharibia.

Unakumbuka alikuharibia kule kwa mama Ashura!? Kama aunt angekuwa na roho nyepesi sasa hivi anko ungekuwa single but not alone
 
....sasa anko twende taratibu, unajua kabisa mpwao ninapataka hapo sasa usiharibu sana.

Huu ni wakati wa wewe kunifagilia, mbona mimi kule kwa yule cheupe wa bank nilikufagilia sana.
Wewe nifagilia nikishindwa ndiyo unipondee kabisa hadi wasijue kama sisi ni ndugu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
...hapa napiga sala zote binamu Nigendako asije maana mtu wa dini yule ataniharibia.

Unakumbuka alikuharibia kule kwa mama Ashura!? Kama aunt angekuwa na roho nyepesi sasa hivi anko ungekuwa single but not alone
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Uncle bhana...
Eti single but not alone...
Wewe je? Upo single au single but not alone?
 
Back
Top Bottom