Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,824
- 183,012
Nyie endeleeni tu kuninyasanyasa muone!!Huwezi utaanzaje [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyie endeleeni tu kuninyasanyasa muone!!Huwezi utaanzaje [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Salama kabisasalama ?
Yaani nilijifanya mzungu nilijutaaa na yote hiyo uvivu wa kupikaUkajifanya mzungu eeh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mie nishakuwa mzoefu, kuna siku nilisahau kama macha sikula nikalala tena bila kula. Nilishtuka usiku nahisi naumwa kila mahali, kumbe njaa bwana[emoji2297][emoji2297]
Salama we mzee za kuadimikasalama ?
hahahaha nipo shangaziSalama we mzee za kuadimika
safiSalama kabisa
Nimefurahi kukuona we mzeehahahaha nipo shangazi
Tuko hapaaaaNimewamiss familia yangu [emoji847][emoji847] nipo busy busy leo
hahahahaNimefurahi kukuona we mzee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Shunie mma shunie majiiii [emoji1787][emoji1787][emoji1787] utake utaniongelea tu usitake utaniongelea ipo hivyoooooo
Halafu jobless mimi navaa gram 10 shingoni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] usishindane na mimi kabisa kukaaa na mbwa wenzio kuniongelea ongelea View attachment 2168205
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] auntie nimeshakuwa maji kama watu wanaamua kukaa tu na kukuzungumzia badala wazungumze habari zao
Yaani wapige hesabu laki 2×10= jibu watakalopata ndio navaa shingoni tu
Halafu kingine nawakumbusha mimi sikai store [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wakati unaponisema ujue unayemsema yupo vipi shunie mma shunie majiiiii
Auntie gram moja ujue laki 2 hiyo umepata hereni
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nakukumbusha mimi mwenzio sikai store [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2168238
Akiyanani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umepata auntie tutaenda Indira ghandi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] unapoamua kunisema ujue kuvaa hata silver basi mtu mshamba upo uswekeni uko unaanza tu kuniongelea hovyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ya makapu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji1787][emoji1787][emoji1787] akomeee D kukaa kuniongelea hovyo mtu unavaa mahereni ya makapu na ushamba wake uanze tu kuniongelea vibaya kabla haujamzungumzia mtu angalia yupojeee
Nyerere square nimekumbuka mbali[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hereni za makapu !!!
Mpaka nimekumbuka mambo ya sabasaba na nyerere square reymage
Msamehe dada, chambo limemfikia. Aloooh [emoji38][emoji38]
Babeq[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We mbwaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo sio dukani hapo ni chumbani kwangu [emoji847] na hilo ni kabati langu la handbags [emoji1787][emoji1787][emoji1787] siishi store mimi na ukianza kuniongelea fananisha maisha yangu na yako [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2168507
@Shunie ana watuNikiwaambia shunie ni maaaaah hawasikiiii
Sasa rasmi shunie ni taasisi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Taarifaa zinakufikiajee kwani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]