Makapuku Forum

Makapuku Forum

We mbwaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo sio dukani hapo ni chumbani kwangu [emoji847] na hilo ni kabati langu la handbags [emoji1787][emoji1787][emoji1787] siishi store mimi na ukianza kuniongelea fananisha maisha yangu na yako [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2168507
Mmmmh babe bado tu...
 
Nikiwaambia shunie ni maaaaah hawasikiiii

Sasa rasmi shunie ni taasisi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Taarifaa zinakufikiajee kwani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] watajua wenyewe uko habari zao ninazo zoteeee
 
Back
Top Bottom