Makapuku Forum

Makapuku Forum

Screenshot_20220331-071649_Opera%20Mini.jpg
Screenshot_20220331-071702_Opera%20Mini.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi huku naongea na wadada wachache sana na wote hawawezi muongelea kwangu wanajua namna niko na Shunie. Yani hamna raha kama watu wakuseme halafu uletewe na ushahidi raha sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]weeeehh!kwelii

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Nilikuwa napita kumwaga likes kama kawaida yangu huwa napita mara chache chache.

Nimekuta hizi habari za wapendwa wenzetu wanaokaa kwenye magodown[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Karibu Niko hapa kwenye down msalato aka stooo

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom