Makapuku Forum

Makapuku Forum

Screenshot_20220330-061541_Opera%20Mini.jpg
 
Kwahiyo katakushibisha auntie [emoji1787][emoji1787] kitu sitaki matani nacho ni kwenye njaa

Kuna siku nilijifanya kulalia matunda kilichonikuta Mungu anajua
Ukajifanya mzungu eeh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mie nishakuwa mzoefu, kuna siku nilisahau kama macha sikula nikalala tena bila kula. Nilishtuka usiku nahisi naumwa kila mahali, kumbe njaa bwana[emoji2297][emoji2297]
 
Back
Top Bottom