Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,192
- 35,355
Marahabaaaaa..Shikamoo dada.
[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Huo Upanbe umeanza lini?[emoji23]
Marahabaaaaa..Shikamoo dada.
[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Huo Uzi umekosa matumizi ya hilo Bando? Mbutaaaaa.[emoji23][emoji23][emoji23]Nataka taarifa za kujazia jazia kwenye uzi dada[emoji85][emoji85][emoji85]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana, wewe tulikuzaa na anti-virus hivyo wameungua wenyewe.
Auntie unahitaji upako kuyaona bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Auntie nimecheka kwa sauti
Leo baada ya auntie yangu kubeba mimba ya miujiza.Marahabaaaaa..
Huo Upanbe umeanza lini?[emoji23]
Ndio matumizi hayo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huo Uzi umekosa matumizi ya hilo Bando? Mbutaaaaa.[emoji23][emoji23][emoji23]
Aaah weeeh virusi gani hivyo visivyo na aibu vya kuingia kwenye huu ukoo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua una ujinga mwingi sana wewe.
Imagine!!!![emoji16]Hizi ni taarifa ambazo ndugu lazima tuwe nazo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila... Huyo jamaa kazi anayo[emoji23]
Naona mwingine jana kalike comment ya Shunie hapa.. Nilicheka[emoji23]
Nimeona bwana. Na ile eti nimemuacha kalala kwangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi uliona ile anaambiwa eti shunie anataka kuzaa na mimi ila mimi sipo tayari [emoji1787][emoji1787] na limwanamke linabeba habari kama zilivyo linakuja kuonyesha wenzie
Mimi huyu nitake kuzaa kifala [emoji1787][emoji1787] hivi wananichukuliaje hawa lakini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niliona nikabaki najiuliza imekuwaje yaani mbona sielewii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilicheka.. Nikasema mdomo koma..
Auntie aone mwenyewe tu[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Auntie utaona tu bwanaMbona mimi sijaona Auntie...?
Make hapo kwanza nicheke[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwenyewe najiweza sanaaa tu bila msaada wa mtu na sitegemi hela ya mwanaume kuishi maisha yangu ninayoishi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba jobless,? Eti Auntie Shunie umekuwa omba omba kwani siku hizi Mama,?[emoji23]
Kwahiyo auntie yangu uko na upako eenhAuntie unahitaji upako kuyaona bwana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimba ya miujiza na kuitoaLeo baada ya auntie yangu kubeba mimba ya miujiza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aaah weeeh virusi gani hivyo visivyo na aibu vya kuingia kwenye huu ukoo?