Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Auntie najiuliza wanawezaje kumtungia mtu story jamani
Auntie najiuliza wanawezaje kumtungia mtu story jamani
Mwenyewe nilishangaa..Nikasema Auntie ajionee mwenyewe..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niliona nikabaki najiuliza imekuwaje yaani mbona sielewii
Sijui ni kukosa cha kufanya na kumuongelea mtu habari za uwongoIla JF!!! Anyway kuna watu wako na Muda....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimeona bwana. Na ile eti nimemuacha kalala kwangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Namna hiyo Aunty akee.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwenyewe najiweza sanaaa tu bila msaada wa mtu na sitegemi hela ya mwanaume kuishi maisha yangu ninayoishi
Mambo yanashangaza sana.Auntie najiuliza wanawezaje kumtungia mtu story jamani
Yote yanawezekana..Wengine ni tabia zao tu..Sijui ni kukosa cha kufanya na kumuongelea mtu habari za uwongo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwangu ya nyokwe jamani ujue nilikuwa nasoma mara mbilimbili hivi hapa kweli naongelewa mimi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio inavyotakiwa auntie tunaishi kutokana na uwezo wetuNamna hiyo Aunty akee.
Makofi kwako Tafadhali..,[emoji122]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aaah we tangu lini jobless akajiweza!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwenyewe najiweza sanaaa tu bila msaada wa mtu na sitegemi hela ya mwanaume kuishi maisha yangu ninayoishi
Wa kutosha, sema suuu niwaombee mapunye yashuke.Kwahiyo auntie yangu uko na upako eenh
Huo sasa ndio ujobless, wanakusingizia tu wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sijui ni kukosa cha kufanya na kumuongelea mtu habari za uwongo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo hamna upako, hamuwezi kuyajua haya.
Sasa auntie ndio ushangae jobless mimi. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aaah we tangu lini jobless akajiweza!!!
Mapunye tena auntieWa kutosha, sema suuu niwaombee mapunye yashuke.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huo sasa ndio ujobless, wanakusingizia tu wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]