Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mtu kabeba na mimba mpaka kuitoa bila kujua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi uliona ile anaambiwa eti shunie anataka kuzaa na mimi ila mimi sipo tayari [emoji1787][emoji1787] na limwanamke linabeba habari kama zilivyo linakuja kuonyesha wenzie

Mimi huyu nitake kuzaa kifala [emoji1787][emoji1787] hivi wananichukuliaje hawa lakini
 
Mweeh kwahiyo ndio sipati mjukuu mimi[emoji2297][emoji2297]
 
Hivi uliona ile anaambiwa eti shunie anataka kuzaa na mimi ila mimi sipo tayari [emoji1787][emoji1787] na limwanamke linabeba habari kama zilivyo linakuja kuonyesha wenzie

Mimi huyu nitake kuzaa kifala [emoji1787][emoji1787] hivi wananichukuliaje hawa lakini
Mbona mimi sijaona Auntie...?
Make hapo kwanza nicheke[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom