Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,282
- 35,766
Haswaaa....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio inavyotakiwa auntie tunaishi kutokana na uwezo wetu
Chako kinakupa raha buana...hata kama kidogo...
Cha kupewa kiwe nyongeza tu..kikiwepo sawa, kisiwepo sawa...