Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji23][emoji23][emoji23] kuna mbwa zinakera sana yaani wanakaaa tu uko pm kwao wanakutungia habari eti shunie anataka kumwandikia thread mtu ana ukimwi hivi hawa mbwa wananichukuliaje mimi lakini kunitungia story zao yaani unabaki unashangaa kusikia hizo habari maana ndio mara yako ya kwanza na evidence juu yaani huyu dada anikome jamani kunifatafata
Mmhhh!!![emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]kazi mnayo miye sielewi!ndo nimekuja humu nakuta mambo meusi

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]afu unauliza baada ya hapo nikafanyaje?!![emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Penye wengi kuna mengi..

Humu unaweza sikia kitu cha kuhusishwa nacho mpaka we mwenyewe ukashtuka hiki ni changu kweli au wamekosea jina!!

Muhimu ni kupotezea, ukiona ni too much unalala nae mbele tu [emoji41]

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom