Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtoto wa watu mpole mimi wananichokoza wenyewe baba wawil waone upande wangu wa pili
Nimesoma hapa nimekumbuka kitu nikacheka saaana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jana Rafiki yangu mmoja kaniambia eti Nanukuu "Wewe(Mimi) sasa..Ni kama ule mkaa unaonekana umezima, ukiushika tu Unakuunguza." Nilicheka jamani.[emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] auntie nimecheka
 
Back
Top Bottom