Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,444
Ananifanyaje hahaIla auntie unavyomfanya huyu baba wawili. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ananifanyaje hahaIla auntie unavyomfanya huyu baba wawili. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahahaha.Kwani we mzee ulitaka vipiii jamani sijaelewa ujue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nafanyaje Auntie?Ila auntie unavyomfanya huyu baba wawili. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mchumba wako wali nazi, nilikuwa nimelisahau hilo Shunie[emoji3]Ujue baba wawili we mtu wa hiphop sana mchumba angu hayo mambo na ye tofauti sana naomba usimchoshe
Kuna muda anakuwa anaongea point kuna muda anazingua tena sana
Haha ngoja kidogo rafikiHebu toa Tamko Rafiki...
Nicheke nimalizie jioni yangu mimi[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Anakufanya kama babu yake [emoji23][emoji23][emoji23]Ananifanyaje haha
Ewaaaah [emoji847][emoji847]hahahaha.
Tuko chitchat shangazi
Au nmekosea ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Najua auntie yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nafanyaje Auntie?
Mpendwa wangu huyu...
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa RafikiHaha ngoja kidogo rafiki
Auntie acha Uchichezi..[emoji2]Anakufanya kama babu yake [emoji23][emoji23][emoji23]
Vizuri unalifahamu hilo baba wawili naomba usinichoshee huyo mwanaume wangu na mambo yako magumu magumuMchumba wako wali nazi, nilikuwa nimelisahau hilo Shunie[emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani sanaHahah wanafanana kwa uchochezi hawa
Mmmmh sjakupata hapa anataka kuchanganya mafailiii auhahahaha halafu anataka kunitia chaka ,kasahau kuwa mie ni MI
Sasa umekoseaje jamaniAu nmekosea ?
hahahaha.nawaaga kwa muda huu. Nitumike tena kukazi.narejea mangaribi .tusumbulie ya jioniEwaaaah [emoji847][emoji847]
Hapana auntie huo ndio ukweli bwana [emoji23]
Sawa we mzeehahahaha.nawaaga kwa muda huu. Nitumike tena kukazi.narejea mangaribi .tusumbulie ya jioni