Yaani ndio hapo sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na anaanzaje kwa Shemeji yake kwanza..
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaha.ahsante shangazi,tuko pamojaWe mzee ujue ni wa thamani sana naufurahisa sana uwepo wako [emoji847] hujui tu
Ila haka kamtu jamani...• "Wale wooote yale maoni yao Shirikisho limeyachukua, mimi siwezi kung'oka kihunihuni eti kwa sababu Watu eti masaa 48, kamfanyie Bibi yako masaa 48 huko, eti uning'oe kihuni tu" ——— asema Msemaji wa Shirikisho la Wasanii Steve Mengele View attachment 2160407
Jua tu nakupenda we mzeehahahaha.ahsante shangazi,tuko pamoja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu wamefananaIla haka kamtu jamani...
Nimecheka Binamu ile Clip kapost.. "Sinyanyuki niueni"...[emoji23]
Bongo ukifa na Stress ni umejitakia tu[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaha.nimekuja kuchungulia kdg shangaziWe mzee usharudi eenh au umetoroka umekuja kuchungulia kidogo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha tu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu wamefanana
Mambo ya umbea ndio tunayoyapenda watanzania sio maendeleo
hahahaha. Ahsante shangazi . Hope unanipenda km mzee wako wa jfJua tu nakupenda we mzee
Jamani we mzeehahahaha.nimekuja kuchungulia kdg shangazi
Hahhaha we mzee bwana me nakupenda bwanahahahaha. Ahsante shangazi . Hope unanipenda km mzee wako wa jf
hahahaha.shangazi naogopa nicje kupigwa na mr.Hahhaha we mzee bwana me nakupenda bwana
nn shangazi .nipo bdJamani we mzee
Mimi sasaNilikumiss mimi
Asanteee shem muhim usisahau kufikiria rangi za sare
Lee wangu hana hizo mambo we mzee uwe na amani kabisahahahaha.shangazi naogopa nicje kupigwa na mr.
Hivi wakazi ana ngoma ipi katika tasnia ya music
Sawa Shem lake..Asanteee shem muhim usisahau kufikiria rangi za sare
Sawa we mzee nafurahi kusikia hivyonn shangazi .nipo bd