Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Nilikumiss mimiDarling
Baba wawili nakusalimia mimiHaha
We mzee usharudi eenh au umetoroka umekuja kuchungulia kidogosafi.mapenzi km hv safi sana.inapendeza
We mzee ujue ni wa thamani sana naufurahisa sana uwepo wakohahahaha
hujui tuNyieeee auntie yangu leo kageuka mkwepu jranagawa likes tu






Nakusalimia Shem...Natekwa na nani wakat roho yangu upoo
Sikiliza mukwano ya tommy
Auntie umenichekesha sana wewe..
Naona Penzi lipo Mubashara kabisa.. Hampoi hamboi
Sent using Jamii Forums mobile app


Sasa auntie yangu toka jana unagawa likes tu nikaona unaiga nyayo za mkwepu jrNaaaaam!!!Sasa auntie yangu toka jana unagawa likes tu nikaona unaiga nyayo za mkwepu jr
Yaani auntie penzi lipo site si umeambiwa ushone share lakini na shemeji yako harusi tunayooooo

..Sare hilo niachie Auntie...Sasa auntie yangu toka jana unagawa likes tu nikaona unaiga nyayo za mkwepu jr
Yaani auntie penzi lipo site si umeambiwa ushone share lakini na shemeji yako harusi tunayooooo

Hahahha mzee baba alikuwa busy na me nilikuwa busy sana auntie yaani nilikuwa naingia makapuku kwa kubeepNaaaaam!!!
Penzo lipo site Auntie....
Ndiyo ndiyo..Harusi mwaka huu tunayo..Hata kwa kubet...Woiiiii
Jana mbona nilikuwa hapa Aunty akee...Wewe hukuonekana..sijui mzee Baba jana aliamua kukaba kisawa sawa..na Ile hali ya hewa sasa.....
Sent using Jamii Forums mobile app



Auntie kwa mshape wako hata gunia unavaa unapendeza sanaaaPole Auntie..Hahahha mzee baba alikuwa busy na me nilikuwa busy sana auntie yaani nilikuwa naingia makapuku kwa kubeep
Yaani ndio maisha lakini auntiePole Auntie..
Mambo ya J3 huwa siyo kabisa...
Mwenyewe hapa huwa ni basi tu...Hakuna namna....
Sent using Jamii Forums mobile app
Auntie!!!Auntie kwa mshape wako hata gunia unavaa unapendeza sanaaa

Auntie!!!
Nitashona kitu kimoja hicho..Matatraaaa balaa....
Hadi ukiniona utaniambia Auntie hapana...hebu kapunguze kidogo bhana...
Bwana harusi asije akabadili Uelekeo Madhabauni...Then tutaambia nini watu?
Sent using Jamii Forums mobile app



Nikiona bwana harusi anakuangalia sana auntie namziba na mikono kwanza ataanzajeNikiona bwana harusi anakuangalia sana auntie namziba na mikono kwanza ataanzaje




