Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Au ananitafuta mimiUkiwa na shida mimi njo apa makapuku napatikana mda wote usijali uwe na amani kabisa
Au ananitafuta mimiUkiwa na shida mimi njo apa makapuku napatikana mda wote usijali uwe na amani kabisa
Eenh akutafute weweAu ananitafuta mimi
Nimetaka kucheka Auntie..il imenibidi kubana kicheko hapa..Mimi bwana kuna siku zilinitenda toka siku hiyo nikasema sitazinywa tena tarehe yangu ilivurugika na kuingia period mara mbili kwa mwezi ile siku sitasahau
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani bora ninywe maji mengi au coca sijui pepsi au fragily sio hizo p2 sitaki hata kuzionaNimetaka kucheka Auntie..il imenibidi kubana kicheko hapa..
Hebu tumalize Kwaresma kwanza Aunty Akee..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani bora ninywe maji mengi au coca sijui pepsi au fragily sio hizo p2 sitaki hata kuziona
Limeishaaa hiloooEenh akutafute wewe
[emoji23][emoji23][emoji23] maji mengi ya baridi litre 1 na nusu au mbili auntie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka...Halafu hizo za Caca na Maji nimezisikia sana Auntie..
Hebi uje unipee "Mbunu" Maana Wa'Tanga mna mambo yenu nyie[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Weeeeeee!!![emoji23][emoji23][emoji23] maji mengi ya baridi litre 1 na nusu au mbili auntie
Hahahahha nipo nasubiri auntie mrejesho
Ila Ally ana Vijimaneno jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Linakera hili jamaaView attachment 2154358
Hahahhaha sanaaaa
Hahahhaha sanaaaa
Nipo apaBabeee
Nipo apa