Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hahahahaha nmekumbuka kitengo changu

345764 namba za mwisho azam
Hahaha no hausahau tu hiki kitengo unakiweza mwenyewe tu

Sakayo ananisumbua huku eti kwahiyo tayari anaona makopa kopa tu
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Hahaha no hausahau tu hiki kitengo unakiweza mwenyewe tu

Sakayo ananisumbua huku eti kwahiyo tayari anaona makopa kopa tu
Mbona tayariiii mda kitambooo...

Tuliendagaa likizo ...
 
Ila sakayo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]akili zako unazijua mwenyewe acha nimalize kuangalia desire nilale zangu
 
Back
Top Bottom