Makapuku Forum

Makapuku Forum

Shunie una deni kubwa sana maishani mwangu miaka kadhaa nyuma ulinisaidia kiasi fulani cha pesa nkafanya biashara nikapata ada for now nko veta mwaka wa tatu japo nna hali ngumu bd but one day ntafanya k2
Auntie!!!!!!!!

Nimesoma kwa hisia sana..
Mungu na Akubariki Mama...Kapu lako lisipunguke..

Dunia Inawahitaji watu kama wewe wengi sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Auntie!!!!!!!!

Nimesoma kwa hisia sana..
Mungu na Akubariki Mama...Kapu lako lisipunguke..

Dunia Inawahitaji watu kama wewe wengi sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
Ameen auntie tubarikiwe sote ni wachache wanaorudi na fadhila kama hivi

Halafu wala sikumbuki ujue nimesadia baadhi ya watu jf yani sikumbuki hata nikimsaidia mtu namsaidia kwa roho moja
 
Ameen auntie tubarikiwe sote ni wachache wanaorudi na fadhila kama hivi

Halafu wala sikumbuki ujue nimesadia baadhi ya watu jf yani sikumbuki hata nikimsaidia mtu namsaidia kwa roho moja
Kabisa Auntie...
Hiyo ni sadaka yako kwa Mungu...

Nimesoma kwa hisia mno hadi machozi yamenilenga..

Barikiwa tu Auntie..Tusiache kutenda mema.ili hii Dunia Iwe sehemu salama ya kuishi..
NAKUPENDA..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NYOTA wa Yanga, Saidi Ntibanzokiza ‘Saido’ anatarajia kufunga ndoa Jumamosi, Machi 19 na mpenzi wake Uwera Samantha ‘Samira’.

Kwa mujibu wa vyombo vya habari na mitandao ya kijamii nchini Burundi ndoa hiyo itafanyika kwa taratibu za dini ya kiislamu na baadae sherehe zitaendelea kwenye ukumbi wa Beliane, Bujumbura.

Saido aliye majeruhi hatakuwa sehemu ya mchezo wa Jumamosi hii kati ya timu yake Yanga na KMC utakaopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Screenshot_20220317-144607_Instagram.jpg
 
Ameen mkuu Mungu azidi kukubariki tu kila siku na usikate tamaa kabisa ya maisha tupo pamoja
m sio mwandikaji mzuri btw natamani ujue kilichotokea after pale nlinunua karanga nkawa na uza na ndo ukawa mwanzo wa kukutana na watu mbali mbali nkapata wazo la kwenda veta kupitia nlijibana bana nkapata kama 160k nkaja veta na hayo mambo mengne nkamuachia mungu sahv nasubr matokeo mwezi wa 6 inshaalah naenda kumaliza mwaka wa 3 pamoja na kua sina ada naamin kama iliwezekana kujisomesha miaka miwili kwa vibarua vya kulima na kupalilia na saiv ntaweza pia japo kwa sasa hv nna changamoto ya mkono btw naamini everything will be ok yote kwa yote nashkuru pengne 6k uliona ni ndogo btw kwangu ilifumbua macho mungu akujaalie maisha marefu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom