Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
BREAKING: Roman Abramovich ametangaza rasmi nia yake ya kuiuza Klabu ya Chelsea:
.
"Siku zote nimekuwa nikichukua maamuzi kwa nia ya dhati ya Klabu. Nimechukua uamuzi wa kuuza Klabu. Ninaamini hii ni kwa manufaa ya Klabu, mashabiki, wafanyakazi, pamoja na wafadhili na washirika wa Klabu. Inaniuma kuachana na Klabu kwa namna hii. Hata hivyo, ninaamini hii ni kwa manufaa ya Klabu. Natumai kwamba nitaweza kutembelea Stamford Bridge kwa mara ya mwisho ili kuwaaga ninyi nyote.