Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mungu wangu niwekee tu huyu mwanaume wangu [emoji120][emoji120] nampenda hivihivi na maugomvi ya hapa na pale jamani

Kaujumbe kama kananihusu nakupenda sana babe wa shunie [emoji8][emoji8][emoji8]
Screenshot_20210905-202346_Instagram%20Lite.jpg
 
Shaka ondoa Shunie, salaam kwa Shadeeya zimefika. Na hivyo walivyomsajili Manara ili awaletee ubingwa saa zote yuko anatabasamu tu😀😀😀
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ubingwa watausikia kwenye bomba na manara wao

Huku bwana jina linawaogopesha watu ujue ila makapuku ni jina tu jamani
🤣🤣🤣

#Sisitunawatu.
 
Nakubali mna watu aisee. Haji si kawahakikishishia kubeba ndoo ya TPL?😀😀😀
Manara yule ni mpiga mdomo tu kama wapiga mdomo wengine sema nini anajua kwenda na upepo.

Sisi tunakiaminia Kikosi chetu kwamba ni bora na pia ukizingatia tuna seasons zaidi ya 4 hatujachukua ubingwa hivyo this time mkubali mkatae ubingwa VPL ni kwa Timu ya Wananchi.
Ila hili chimbo la Makapuku nilikua naliona tu nalichukulia poa ila liko poa sana
😀😀😀
 
Manara yule ni mpiga mdomo tu kama wapiga mdomo wengine sema nini anajua kwenda na upepo.

Sisi tunakiaminia Kikosi chetu kwamba ni bora na pia ukizingatia tuna seasons zaidi ya 4 hatujachukua ubingwa hivyo this time mkubali mkatae ubingwa VPL ni kwa Timu ya Wananchi.

😀😀😀
Kwa usajili upi kwa mfano?😀😀😀
 
Back
Top Bottom