Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,557
- 19,107
Naona mechi zao za kujipima nguvu wanacheza na kina Friends Rangers na kina Pan Africa!!!! Hawataki kucheza na timu kubwa maana wanakua wana risk support ya mashabiki wao watakaonza kuona wameingizwa chaka kwenye usajiliKipindi pekee ambacho mbutembute fc wanafurahia ni hiki cha usajili ..subiria jpili wapigwe za kutosha
Safari yao kwenye CCL ndio inaishia round hii
mtoto mlito mlito