Hahhaha kweli tumezeeka jamaniAhsante kunikumbuka ndugu yangu. Natumai nawe hujambo pia?
Uzee huuwafanya hatuonani eti.
HahahhahahUzee huo kwio?![]()
Umepiga ikulu kabisa😀😀😀
Sisi tuna Mungu
Hivi ujue kweli tumezeeka sasa hivi hata miezi tunaweza hata tusipishane jfNdipo tumezeeka eti. Lol
Yaani kuna kipindi alikuwa haipiti siku hatujakutana / kupishana kwenye ulimwengu wetu wa jf na ndugu yangu Shunie.
Asantee kwa magazeti
Nimeshaweka magazetiNduguyo Shunie yupo huku na ameshakua mwenyeji haswaa. Hapa tunasubiri muda si mrefu atuletee magazeti angalau tupitie vichwa vya habari
Hahhaha kwa kujipa moyo tu yetu sisi machoManara yule ni mpiga mdomo tu kama wapiga mdomo wengine sema nini anajua kwenda na upepo.
Sisi tunakiaminia Kikosi chetu kwamba ni bora na pia ukizingatia tuna seasons zaidi ya 4 hatujachukua ubingwa hivyo this time mkubali mkatae ubingwa VPL ni kwa Timu ya Wananchi.
![]()
Ewaaa!!! Wazee tunajuana etii.
Hatuanzi kazi bila kujua magazeti yanasema aje.![]()






Yaani naomba hiyo siku ifike tuWatamtimua tu muda si mrefu
Shukrani saana sana Shunie, ubarikiwe. Ndio nayapitia hapa moja baada ya jingineNimeshaweka magazeti
Hiyo siku wala haiko mbali. Halafu Haji hanaga mshipa wa noma. Atawasasambua na kuwavua nguo hadharaniYaani naomba hiyo siku ifike tu
Hamna kitu pale. Huko alipokua alikua anasugua bench tu. Na Chura FC kwani wanakawia? Wataanza kumshambulia kwa lawama na matusi watapoona huyu sio Makambo wa mwanzo. Wamenunua mbuzi kwenye guniaWatakwambia wa makambo![]()
Hamna kitu pale. Huko alipokua alikua anasugua bench tu. Na Chura FC kwani wanakawia? Wataanza kumshambulia kwa lawama na matusi watapoona huyu sio Makambo wa mwanzo. Wamenunua mbuzi kwenye gunia