Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
[emoji1054] | Andreas Perreira [emoji654] FLAMENGO
.
Klabu ya Manchester United imemtoa kwa mkopo kiungo Andreas Perreira kwenda Flamengo ya Brazil
.
Pereira mwenye umri wa miaka 25 amecheza michezo 75 akiwa na uzi wa Mashetani wekundu na amefanikiwa kutupia wavuni magoli 4.