wamemtambulisha kiungo wa Mali Sadio Kanoute (24) kwa kandarasi ya miaka mitatu kutoka kwa miamba ya Libya Al Ahly Benghazi kwa takribani dola za Kimarekani 150,000.
AL AHLY 
na Luis Jose Miquissone
watawasili jijini Cairo wiki ijayo kukamilisha dili la kujiunga na Al Ahly